Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo. Ajenti wa serikali apige risasi 16 zote apige mguuni wakati kafundishwa kuwa ukitaka kumuua mtu sehemu nzuri ni kichwa au kifua. Kasomea wapi huo ujasusi? Na watu wa forensics wana utata sana kwamba risasi zimeingilia kushoto kwenye gari lakini mguu uliopigwa ni wa kulia....na dereva mpaka leo sijui kawehuka...Iko namna sana katika hili tukio. Mianasiasa !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…