moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mimi hainihusu na hakuna wa kunituliza (hata Tulia mwenyewe) kwa sababu sitegemei maisha ya mwanasiasa kuendesha maisha yangu. Ashinde asishinde cha muhimu tu kuwe na amani watu wetu wasiteseke. Siasa za Afrika !!!Subiri uone utakavyo Tulia[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Bado kashfa ipo pale pale.Ndiyo. Ajenti wa serikali apige risasi 16 zote apige mguuni wakati kafundishwa kuwa ukitaka kumuua mtu sehemu nzuri ni kichwa au kifua. Kasomea wapi huo ujasusi? Na watu wa forensics wana utata sana kwamba risasi zimeingilia kushoto kwenye gari lakini mguu uliopigwa ni wa kulia....na dereva mpaka leo sijui kawehuka...Iko namna sana katika hili tukio. Mianasiasa !!!
Serikali wamekusikia. Wana/tafuatilia bila shaka.Bado kashfa ipo pale pale.
Serikali kushindwa kumdaka mtuhumiwa aliyefyatua SMG hiyo ni kashfa mbaya sana.
Serikali hawezi kukwepa lawama
Fanya kila njia uje upige kura kamandaMimi hainihusu na hakuna wa kunituliza (hata Tulia mwenyewe) kwa sababu sitegemei maisha ya mtu mwingine kuendesha maisha yangu. Ashinde asishinde cha muhimu tu kuwe na amani watu wetu wasiteseke. Siasa za Afrika !!!
Tukumbuke kuna MUNGU pia.Ndiyo. Ajenti wa serikali apige risasi 16 zote apige mguuni wakati kafundishwa kuwa ukitaka kumuua mtu sehemu nzuri ni kichwa au kifua. Kasomea wapi huo ujasusi? Na watu wa forensics wana utata sana kwamba risasi zimeingilia kushoto kwenye gari lakini mguu uliopigwa ni wa kulia....na dereva mpaka leo sijui kawehuka...Iko namna sana katika hili tukio. Mianasiasa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali yako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1559924
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]