Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na sisi tujaribu sijui???
"Demokrasia" ya kweli ni ile inayoakisi utamaduni, historia na mila za watu...

Tukopi yale yanayotufaa na mengine yasiyoendana na mila, historia na utamaduni wetu tuwaachie wenyewe...

(Niko hapa kwao. Hata wenyewe demokrasia yao hii inalega lega sana. Wanapoteza moral authority ya kuwa eti ndiyo waeneza demokrasia duniani kote kwa kasi. Itabidi tuhamie Ulaya au nchi za Skandinavia kwa mifano sahihi ya demokrasia shirikishi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…