Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sipati picha, Maneno kama haya angeambiwa Trump wa pande zetu hali ingekuwaje [emoji2089][emoji2089]
Wewe ungekuwa Trump wa pande zetu ungependa uambiwe maneno kama hayo? Kwao hii ni kawaida tu kwa sababu hata nyumbani mzazi ukizubaa mwanao anakupiga na maneno kama haya na zaidi; na hakuna ambacho utaweza kumfanya kwa sababu analindwa na sheria na ni haki yake. Ndiyo maana toto la kiume linaweza kuja home na rafiki yake wa kiume na likakuambia bila kupepesa macho kuwa "dad this is my fiancee" na hakuna utakachofanya kwa sababu ni haki ya lenyewe...Tuigeni yaliyo mema na yasiyoendana na utamaduni na mila zetu tuwaachie wenyewe huko. Hiyo ndiyo demokrasia ya kujitambua hata kama tunaitwa shi**hole countries [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Katika kura kuna kula pia hata kama huhitaji kula kwa sababu ulishakula vya kutosha!!!
IMG-20200909-WA0044.jpg
 
Back
Top Bottom