moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120]Hongera wakulima wooote
Ni kweli kuna mengi ambayo hatuwezi kuyaiga, lakini ni ukweli usiopingika kwamba kuna mengi pia lazima tutaiga.Wewe ungekuwa Trump wa pande zetu ungependa uambiwe maneno kama hayo? Kwao hii ni kawaida tu kwa sababu hata nyumbani mzazi ukizubaa mwanao anakupiga na maneno kama haya na zaidi; na hakuna ambacho utaweza kumfanya kwa sababu analindwa na sheria na ni haki yake. Ndiyo maana toto la kiume linaweza kuja home na rafiki yake wa kiume na likakuambia bila kupepesa macho kuwa "dad this is my fiancee" na hakuna utakachofanya kwa sababu ni haki ya lenyewe...Tuigeni yaliyo mema na yasiyoendana na utamaduni na mila zetu tuwaachie wenyewe huko. Hiyo ndiyo demokrasia ya kujitambua hata kama tunaitwa shi**hole countries [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Duh!!! kazi kweli hapo.Hapo sasa....
View attachment 1564317
Wakati huo wameshakulana vya kutoshaf [emoji14][emoji14][emoji14]Hapo sasa....
View attachment 1564317
Ni kweli. Ukubwa ni jalala ...na (kinadharia) ukiupenda ukubwa basi uupende na ujalala wake [emoji16][emoji16][emoji16]Ni kweli kuna mengi ambayo hatuwezi kuyaiga, lakini ni ukweli usiopingika kwamba kuna mengi pia lazima tutaiga.
Haiwezekani kiongozi wa watu milioni 60 kutajwa kwa mema na mazuri pekee na watu wote hao.
Mi navyojua ukikubali kuongoza watu jiandae kusikia na kuvumilia kauli zao.
[emoji120][emoji120]View attachment 1564348