Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata huyu rafiki yao Anthony pia alifariki wakati anakimbizwa hospitali.
Wanandoa hao walio na huzuni hawakutaka chochote zaidi ya kuwarudisha watoto wao hao haswa baba yao John. Ilifika hatua John akawa anatangaza kuwa watajaaliwa tuu watoto wengine kama hao.