Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niliivuta mpaka ep 20 kuja kuipanga upya episode 2 na 3 hazipo.. Nimeangalia episode 1 tu nasubiria nipate chance ya kuzivuta hizo niendelee na uhondo.

Upo episode ya ngapi?

#daeUgaliSijuiAnapambana na jimbo gani kapotea
Aisee, ulivyo na speed ukizipata hzo 2 na 3 utaniacha kwenye mataa.....niko 27

DaeUgali atakuwa amejificha huko Londoni na Genge lao la uhalifu
 
Duh !
JamiiForums1041910783.jpg
 
Back
Top Bottom