myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee, ulivyo na speed ukizipata hzo 2 na 3 utaniacha kwenye mataa.....niko 27Niliivuta mpaka ep 20 kuja kuipanga upya episode 2 na 3 hazipo.. Nimeangalia episode 1 tu nasubiria nipate chance ya kuzivuta hizo niendelee na uhondo.
Upo episode ya ngapi?
#daeUgaliSijuiAnapambana na jimbo gani kapotea
ππππππAisee, ulivyo na speed ukizipata hzo 2 na 3 utaniacha kwenye mataa.....niko 27
DaeUgali atakuwa amejificha huko Londoni na Genge lao la uhalifu
ππππππ
Bado yupo busan ndani ya reply 1988
Na wale wa Kudandia malori pole yetuπΊPoleni wa daladala na bajaji..