Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wanaume ambao wanaweza kufanya Push Ups' 40' kwa mkupuo mara moja wana uwezekano mdogo zaidi wa kupata shambulizi la moyo, Kwa mujibu wa utafiti kutoka Chuo Kikuu Cha Havard.
Kwako Push Ups' mwisho ngapi 😊
Kwako Push Ups' mwisho ngapi 😊