Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.Kuishi kwa Tabu leo,Kesho kuishi kwa Raha, binadamu aliyejiuza nini maana ya maisha na akapata jibu thamani aliyonayo,dhumuni la kuishi,na umuhimu wake,lazima atayajibu kwa kujituma kufanya kazi na kuacha starehe, na kuwekeza kwaajili ya baadaye atakapo zeeka,
 
2.kuishi kwa Raha leo,Kesho kwa Tabu, hakuna maisha magumu kama uzeeni ndugu zangu, sisemi wazee wana maisha magumu la hasha!kwa yule aliyejipanga akiwa kijana hatojutia muda aliopoteza na kuwekeza lakini kwa yule raha leo,kesho tabu hapa namba mbili panamuhusu,
 
Nguvu hii ya kushukuru ni mbolea ambayo hustawisha na kukuza vitu ambavyo ulitafuta au kuomba na ukavipata na nguvu hii ya kushukuru ipo kwa hicho ulicho nacho kwa sasa iwe ni Wazo la Biashara,Vitu,Amani ,Mali,Pesa, na vingine vingi vinavyogusa Maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…