moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Poa Jirani, za wewe?Mambo
Safi... Naomba hizoPoa Jirani, za wewe?
Njoo uchukueSafi... Naomba hizo
😊 Niko hapa kaloleniSanawari
Kaloleni kubwa. Nisubiri hapo round about ya Tembo.😊 Niko hapa kaloleni
Mpaka ufike na hili jua zitakuwa zishayeyuka zimeyeyuka na kuwa dompoKaloleni kubwa. Nisubiri hapo round about ya Tembo.
Hahahahah aisee eti zimeyeyuka zimekuwa dompo.Mpaka ufike na hili jua zitakuwa zishayeyuka zimeyeyuka na kuwa dompo
Basi umeskia dompo mate yamekujaa mdomonHahahahah aisee eti zimeyeyuka zimekuwa dompo.
Haha hiyo mpaka ijumaa kwenye kuadhimisha siku ya kunywa vileo kistaarabuBasi umeskia dompo mate yamekujaa mdomon