Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waziri wa kazi wa Lesotho Keketso Ratso akikagua shamba la bange.
Kilimo cha Bange kimeruhusiwa nchini humo.
Zao la bange halihitaji maji ya umwagiiaji wala mbolea na bado zao hilo lina soko kubwa kuliko mihogo, mtama wala mahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…