Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Dooh!
hatuiogopi hiyo miaka maana hatuwezi tukakutana na Yale mambo ya watu wasiojulikanaKumbuka ana miaka 17, angalau angefikisha 18.
Huyo ni mtoto, aliyempoteza ajiandae kuoga miaka 30 au maisha
Naachaje sasa[emoji3][emoji3][emoji2356]Inaanzaje sasa kula kwako tena? [emoji3]
Bado tu hujaacha kujiongeza mpaka unamwagikia?
Utaacha tu...Naachaje sasa[emoji3][emoji3][emoji2356]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah! Yeye ndio hajapotea ila nyumbani kwao kapotea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]vitu vingine ni kuwasumbua tu police.Kuna dada wa kazi alipotea bila kuaga basi kwenda police kutoa taarifa wakasema "kaendeleeni na mambo mengine huyo yupo sehemu salama"
Huyo atarudi mwenyewe nyumbaniKumbuka ana miaka 17, angalau angefikisha 18.
Huyo ni mtoto, aliyempoteza ajiandae kuoga miaka 30 au maisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Andaeitini kwenye ubora wako[emoji2089][emoji2089]Huyo atarudi mwenyewe nyumbani
Watoto wa siku hizi miaka 17 vilishakua vimetuzidi hadi sisi dada zao wenye 25[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Andaeitini kwenye ubora wako[emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 1572166
Yes yes yohHiiih! Wewe acha tu
Heheh! Taarifa ni muhimu sana maana huko alipokwenda huwezi kujua atapata matatizo gani, pia lawama za ndugu kama hivyo. Sasa kama taarifa zipo sehemu ya usalama basi inasaidia usalama wako vile vile....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]vitu vingine ni kuwasumbua tu police.
Sisi alishawahi kupotea na nyumbani kwao hawatuelewi kabisa...wacha tusugue miguu kumtafuta mitaa na mitaa.
Vimewazidi nini?Huyo atarudi mwenyewe nyumbani
Watoto wa siku hizi miaka 17 vilishakua vimetuzidi hadi sisi dada zao wenye 25[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vimewazidi nini?
Ngoja nikatafute mkasa wako huko