Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1600680786811.jpeg
 
FIFA World cup 1990.
Argentina 0-1 Cameroon.
Ni mwaka ambao bara la Afrika kupitia timu ya taifa ya Cameroon limeonyesha uwezo mkubwa kiasi mpaka Dunia ilifikilia kuchukua maamuzi ya kuongeza timu toka 3 za wakati huo mpaka kufikia timu tano za sasa kushiriki mashindano hayo makubwa.


Salute kwa Roger Milla, Thomas Nkono, Joseph Antonie Bell, Emanuel Kunde, Omam Biyiki, Masing, Paul Mfede, Emie Mbo'h na wengine
 
Back
Top Bottom