myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kila mtu ana umuhimu wake....
ahsante babuPoleni wagonjwa wote...
swadakta.....Kila mtu ana umuhimu wake....
Unaumwa nini?ahsante babu
ni mzima wa afya.....Unaumwa nini?
😂 😂ahsante babu
wikiend ijayo tena tunacheza na watoto wengine, siwaamini amini! Nadhani na mimi nitapotea kama wenzangu😬😃😃
Najua sio poa ila najiskia vizuri sana mkilialia hivi, siju Davet na Bradha wakowapi😬
Wakulima wote poleni sana....
AminMungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wikiend ijayo tena tunacheza na watoto wengine, siwaamini amini! Nadhani na mimi nitapotea kama wenzangu[emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]