moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Bro niajeOffside kasoro kidogo sana hii.
#kabahatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro niajeOffside kasoro kidogo sana hii.
#kabahatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzima kabisa kwa niaba ya juve tunawasubiria kwa hamuMimi ni PSG
PSG tunawasubiria.
Mzima lkn?
Man City is BAE😅😅Mnalo hilo View attachment 1589548
Lile jumba lina wajukuu wengi, mpaka nachanganyikiwa..#Father 😅5.Lotte World Tower - Seoul
Shwari Mo, mambo ni vipi?Bro niaje
hahahahahaMzima kabisa kwa niaba ya juve tunawasubiria kwa hamu
😂😂😂😂😂chungulia handsome mjukuu kisha great grandma na swagger zake. Bila kusahau style yake ya kusaliLile jumba lina wajukuu wengi, mpaka nachanganyikiwa..#Father 😅
😀Bibi ana sali yule hadi najiona kma mimi huwa nacheza tu...Halafu roho yake nzurii😍🌺😂😂😂😂😂chungulia handsome mjukuu kisha great grandma na swagger zake. Bila kusahau style yake ya kusali
Na lipstic yake acha kabisa. Subiria scene kanyimwa kitimoto atakavyokua analalamika basi burudani tosha😀Bibi ana sali yule hadi najiona kma mimi huwa nacheza tu...Halafu roho yake nzurii😍🌺
😁😁Ndio kwanza niko 6,acha nikukimbilieNa lipstic yake acha kabisa. Subiria scene kanyimwa kitimoto atakavyokua analalamika basi burudani tosha
Safi utanifikia tu maana nipo father ila bado nacheka na ya tailor sam do akilia sura inavyovurugika sasa😂😂😂😂😂😂😁😁Ndio kwanza niko 6,acha nikukimbilie