moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Bro niajeOffside kasoro kidogo sana hii.
#kabahatisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzima kabisa kwa niaba ya juve tunawasubiria kwa hamuMimi ni PSG
PSG tunawasubiria.
Mzima lkn?
Man City is BAEπ πMnalo hilo View attachment 1589548
Lile jumba lina wajukuu wengi, mpaka nachanganyikiwa..#Father π5.Lotte World Tower - Seoul
Shwari Mo, mambo ni vipi?Bro niaje
hahahahahaMzima kabisa kwa niaba ya juve tunawasubiria kwa hamu
πππππchungulia handsome mjukuu kisha great grandma na swagger zake. Bila kusahau style yake ya kusaliLile jumba lina wajukuu wengi, mpaka nachanganyikiwa..#Father π
πBibi ana sali yule hadi najiona kma mimi huwa nacheza tu...Halafu roho yake nzuriiππΊπππππchungulia handsome mjukuu kisha great grandma na swagger zake. Bila kusahau style yake ya kusali
Na lipstic yake acha kabisa. Subiria scene kanyimwa kitimoto atakavyokua analalamika basi burudani toshaπBibi ana sali yule hadi najiona kma mimi huwa nacheza tu...Halafu roho yake nzuriiππΊ
ππNdio kwanza niko 6,acha nikukimbilieNa lipstic yake acha kabisa. Subiria scene kanyimwa kitimoto atakavyokua analalamika basi burudani tosha
Safi utanifikia tu maana nipo father ila bado nacheka na ya tailor sam do akilia sura inavyovurugika sasaππππππππNdio kwanza niko 6,acha nikukimbilie