ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nimekubali, hao jamaa wanawajua sana mademu
Amekuonea sana, alipaswa akuzimishe kabisa ili ukaokotwe kwe mortuary ya Muhimbili.
Maziwa yepi Jaman? Mtindi au freshKupunguza uzito
Utafiti unaonesha kuwa wanawake wanaokunywa maziwa hupunguza uzito zaidi kuliko wale wasiokunywa. Inashuriwa kunywa maziwa wakati wa chakula cha jioni au unapokula matunda. Pia maziwa yanaweza kutumiwa kama kileta hamu ya kula yaani appetizer.