myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!Antoine Griezmann-Barcelona
Jumla ya mapato: $33 million
Mshahara: $28
Ufadhili: $5 million
Tangu mchezaji huyo wa Ufaransa kutoridhisha wasajili wake Barcelona msimu uliopita , kuna uvumi kwamba klabu hiyo inataka kumuuza PSG ili kumrudisha Neymar kupitia mahitaji ya Messi.
Duh!!!GOOD NEWS
Serikali imesema kuanzia tarehe 01/12/2020 itaongeza mishahara ya watumishi wake wote kwa 40% ikiwahusisha pia Watumishi wa Mashirika ya Umma, Serikali Kuu, TAMISEMI na Kuwataka Waajiri Wote wa Sekta Binafsi kuzingatia ongezeko hilo. Hata hivyo kwa kipindi cha miezi mitatu yaani September, October na November waalimu, na watumishi wa idara za afya watapatiwa posho isiyopungua sh 150,000 kwa kila mwezi ili kupunguza ukali wa maisha wakati wakisubiri neema ya nyongeza ya mishahara.
Mazungumzo yote yameshakamilika na kinachosubiriwa utaratibu wa kuandaa malipo.
Fupisha habari hii kwa maneno yasiyozidi 30.
*Sijui Itakua ni Mtihani huo Wa darasa La Saba !!!!* [emoji1787]
[emoji1435][emoji1435]
Sawasawa...Cristiano Ronaldo-Juventus
Jumla ya mapato: $117 million
Mshahara: $70m
Ufadhili: $47 million
Ronaldo ndio mchezaji maarufu duniani akiwa na wafuasi milioni 457 katika mitandao ya kijamii. Mwezi Julai alichapisha kanda ya video ya yeye binafsi akizungumzia kuhusu barua aliomuandikia miaka 10 gwiji wa soka wa Brazil Julia Rosado.
Ni mchezaji wa pili katika historia baada ya mchezaji wa Iran Ali Daei kufunga zaidi ya magoli 100 katika mechi za kimataifa