Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wafanyakazi kutokea makao makuu ya Kampuni ya Apple, Curpetino, California, Marekani kwa mwaka hupata wastani wa Tsh milioni 289.9 ya mshahara (Hii ina maana wastani kila mfanyakazi mmoja kwa mwezi hupata mshahara wa Tsh Milioni 24.2)
 
Tanzania: Kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2008: Pale baba anaponyonya maziwa ya mke anayenyonyesha ni kitendo kinachokatili afya na maendeleo ya akili ya mtoto na ni kosa kisheria.

Adhabu: Faini milioni 5 au kifungo jela miezi 6 au vyote.

Chanzo: avis legal
 
Tanzania: Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Pale uchumba unapovunjika na ikiwa kuna zawadi ilitolewa baina ya wenzi kwa matarajio ya uwepo wa ndoa, basi mwenzi aliyeghafirika anao uwezo kisheria kudai kurejeshewa zawadi hiyo.

Chanzo: Avis Legal
 
Tanzania: Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Mke anaruhusiwa kisheria kukopa fedha kwa jina la mume wake kwa lengo la kujikimu yeye au familia yake na mume husika atawajibika kulipa mkopo huo.

Chanzo: Avis Legal
 
Gramu moja tu ya sumu ya nyoka huuzwa kuanzia Tsh Milioni 9.2, Sumu Ya Nyoka hutumika kwaajili ya kutengeneza tiba ya sumu mbalimbali pia husaidia katika tafiti na majaribio mbalimbali kwenye maabara
 
The United Arab Emirates (UAE) imeundwa na Falme 7 ambazo ni Abu Dhabi, Ajman, Dubai, Fujairah, Ras Al Khaimah, Sharjah na Umm Al Quwain. Abu Dhabi ndio makao makuu na Dubai ndipo biashara nyingi zaidi hufanyika pia inatajwa kama moja ya Falme tajiri kati ya 7 zinazounda muungano huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…