Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8B2277FF-7312-4890-97AD-90EB725C9DD7.png
 
Mimi pia Mkuu nilikuwa simfollow huyu lakini tangu jana nimeanza kumfollow kutokana na kupinga udhalimu wa kutisha unaoshamiri Nigeria.
Nme-follow twitter kwa mara ya kwanza leo lakini si kama musician ila mpigania haki!
Na ile Grammy Award labda nisipate link! Nmeamua, today on nasupport Nigeria Musicians. Period!!
 
Back
Top Bottom