ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
😆😆Mmmh BAK kata kata hili gazeti.
Wa nokia tochi tumepata tabu sana
Jamaa ana lake jambo, unawezaje kumfanyia hivo mkeo?!Unaomba talaka usiku huo huo
Mwanaume wa ajabu sana, hata mke naona amebaki tu anashangaa haamini kinachotokeaJamaa ana lake jambo, unawezaje kumfanyia hivo mkeo?!