The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Mie ndio nipo E17, halafu Father is strange nimeishusha mpaka 25 sitaki tu kuianza.πππππππππ th bana
Una stock ya kutosha. Nenda taratibu hutojutia mb zako ukimaliza i ll take care anza safar ya father walaaaa sitakuongezea mzigo mwingineπππππMie ndio nipo E17, halafu Father is strange nimeishusha mpaka 25 sitaki tu kuianza.
Mmmh.Tendo la ndoa ni tiba nzuri pia ya mafua, Lakini tendo inashauriwa kufanyika kwa wastani kuanzia mara moja au mbili kwa wiki.
Chanzo: BBC
[emoji120][emoji120]Wakulima woote poleni..
AminMungu awaponye wagonjwa [emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]