Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1602597892544.jpg
 
Kabisaaa ukute davet ni kampen meneja. Leo mgombea kapumzika basi kd kapata muda wa kuchungulia humu

Bro don ukute mgombea ubunge
Hawachi,carba viti maalum ubunge au udiwani

Ninge na cole wachora raman ya wagombea au labda wale mabaunsa wanaolinda viongozi maana wameshiba
Kwa hiyo baada ya uchaguz tutarajie kuwa na waheshimiwa humu.... maana waliopotea ni wengi
 
Back
Top Bottom