Harakati fresh tu mkuu... karibu tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama kawaida mzee, vipi harakati?
Shukrani sana mzee wa 12 proHarakati fresh tu mkuu... karibu tena
Na mimi basi nifanyeni kama anko 🤗😂😂😂😂😂😂anko tunakupenda kama nyerere day😍😍😍😍
😂😂Anko cha mdekoo, tunakupenda Jamani😍
Siku hizi una mbio kama yego,umeadimika,umepotea,umetukimbiaNa mimi basi nifanyeni kama anko 🤗
😀😀 Hivi siku hizi hamna mambo ya nywilaSiku hizi una mbio kama yego,umeadimika,umepotea,umetukimbia
😀😀 Hivi siku hizi hamana mambo ya nywila
Mahali nilipoitoa wanasema vina uhusiano broKuna uhusiano wowote kati ya picha ya juu na hiyo ya chini?
Kwa hiyo baada ya uchaguz tutarajie kuwa na waheshimiwa humu.... maana waliopotea ni wengiHamna siku hizi tuna wajumbe ,wapambe na wagombea. Ukiona mtu kapotea humu ujue yupo busy na kampen
Kwa hiyo baada ya uchaguz tutarajie kuwa na waheshimiwa humu.... maana waliopotea ni wengi
😂😂😂Kabisaaa ukute davet ni kampen meneja. Leo mgombea kapumzika basi kd kapata muda wa kuchungulia humu
Bro don ukute mgombea ubunge
Hawachi,carba viti maalum ubunge au udiwani
Ninge na cole wachora raman ya wagombea au labda wale mabaunsa wanaolinda viongozi maana wameshiba
Dahh!!![emoji23][emoji23]Anko cha mdekoo, tunakupenda Jamani[emoji7]
Akisema ndiyo mimi nitapinga... Hakuna uhusiano kabisa, nimepima.Kuna uhusiano wowote kati ya picha ya juu na hiyo ya chini?
Wewe tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi basi nifanyeni kama anko [emoji847]
Napinga kwa macho yangu [emoji3][emoji3][emoji3]Mahali nilipoitoa wanasema vina uhusiano bro
Wewe acha tu, haya mambo ya uchaguzi yananipeleka mbio sana 😁Siku hizi una mbio kama yego,umeadimika,umepotea,umetukimbia
Vipi lakini shwari?Mahali nilipoitoa wanasema vina uhusiano bro