myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wa sokoni na dukani
Mungu awaponye wagonjwa wote
Jioni iwe njema
Mungu atupe afya na uzima
Hongera walezi wa familia
Wasafiri Mfike salama
Poleni wa sokoni na dukani
Poleni mnaoendelea na kazi