[emoji125] [emoji125]Mazizi yamebaki na samadi tu hamna mfugo hata mmoja.
Ngoja nikalimie tu hizi samadi. [emoji23] [emoji23]
Mtoto mbishi huyoooAleyn angeomba poo
Mjibu numbisa
Kula likes salam baadaeGood evening ladies and gentlemen[emoji4]
Hahahahahahabuzitata ananikosha sana na vimisemo vyake vya kibabe.
Ukiwa mtu wa kureact fasta unaumia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
poa mkuu niajeeeMambo Mamii?
Mkuu naona kakitambi ka mapenzi umeanza kukapataYupo jikoni anaonyesha umahili wake
HahahahahahaKula likes
Yuko wapi sammyluv?sammyluv karibu
Swali tamuUnataka kuuliza nini?
Huwa anatokea na kupotea[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wapi damushin