Matumizi sahihi ya mitandao ni fursa kwa vijana kuhimiza maendeleo na zaidi kwa kipindi hichi cha uchaguzi kujenga hoja mbalimbali zitazowafikia wagombea ambao ni viongozi wa baadae.
Kufika anga za juu (Outer Space) utatumia saa 1 tu kama utaenda kwa spidi ya 60 MPH (Mile Per Hour), spidi isibadilike (Constant).
Makadirio ni sawa na umbali kutoka Dar mpaka Bagamoyo.
Panya wanazaliana kwa haraka sana kiasi kwamba katika kipindi cha miaka mitatu pekee, Panya wawili kama hawatabughudhiwa na kitu chochote, wanaweza kutengeneza ukoo wenye Panya milioni 482.
Tafiti: Wanaume wanaokula Pizza, Baga, Chipsi na vyakula vingine vinavyochakatwa kwa kiasi kikubwa wana kiasi kidogo cha mbegu za uzazi tofauti na wanaume wanaokula vyakula asilia.
Tafiti: 95% ukijibiwa "Sijui" sio kweli kwamba hafahamu lolote bali anakuwa tu ameamua kutokukwambia ukweli wa hilo swali lako unalotaka majibu au ufumbuzi.
Makampuni makubwa ya nguo na mitindo kama Nike, Louis Vuitton, H&M huchoma moto bidhaa zote zilizokaa muda mrefu bila kununuliwa badala ya kuuza kwa bei ya punguzo. Lengo ni kulinda thamani ya nembo zake.