Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Celebrity worship syndrome ni ugonjwa wa akili ambapo mtu hutokea kumpenda mtu maarufu kupita kiasi (Kufuatilia na kusifia/kupenda kila kitu anachofanya kwenye kazi zake na maisha binafsi)
Auntie nilivyo na kihere here nimeibakisha episode 2 nimalize🚶♀️
😂😂😂😂😂😂😂Auntie nilivyo na kihere here nimeibakisha episode 2 nimalize🚶♀️
Father is strange ni tamu kuliko i`ll take care😂😂😂😂😂😂😂
Father is strange ni tamu kuliko i`ll take care
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na fisi jeUkitoa binadamu, Sokwe na Panya ndio wanyama pekee pia ambao wana uwezo wa kucheka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na fisi je
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh kitakuwa kicheko tu kile maana ukiwasikia kwa mbali kabla haujawaona unaweza dhani ni binadamu ndiyo wanachekaNimemsahau ila kile sidhan kama ni kicheko au dhihaka zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duh kitakuwa kicheko tu kile maana ukiwasikia kwa mbali kabla haujawaona unaweza dhani ni binadamu ndiyo wanacheka
haswaa, dada mwanasheria kapendezesha series, nikiwa mkubwa niwe kama yeye...1year marriage😎Dear aunt yaan najuutaaa kuipita. Tamu sana kila episode inaleta hamu ya kufatilia inayofuatia