The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
π π Mkewe anamwambia Umekuwa nyoka anajivua magamba, maana nyumba nzima imejaa nguo zakoHawa ni majanga tupuππππππ hasa mzee chico akili zake daah
π π Mkewe anamwambia Umekuwa nyoka anajivua magamba, maana nyumba nzima imejaa nguo zakoHawa ni majanga tupuππππππ hasa mzee chico akili zake daah
Wanafurahisha ila mzee chico shuain zake na family portrait(sijui nimepatia hapa)πππππnisipowaona hao amani sina nafsini mwangu
πππππππjamaa ikanunua chupi za mwezi mzima kukomesha mgomoππππππ π Mkewe anamwambia Umekuwa nyoka anajivua magamba, maana nyumba nzima imejaa nguo zako
episode 15 mama aliendeleza mgomo wa kuosha nguo za baba chico.....π π Mkewe anamwambia Umekuwa nyoka anajivua magamba, maana nyumba nzima imejaa nguo zako
kuna episode fulani mama alikuwa na mgomo wa kupika chakula....πππππππjamaa ikanunua chupi za mwezi mzima kukomesha mgomoπππππ
ππππππππππππππππhalafu anavyoongea sasa style ya i dont care banaπππepisode 15 mama aliendeleza mgomo wa kuosha nguo za baba chico.....
baba chiko akaona isiwe tabu...
ngoja nikanunue chupi na soksi 30 kwa ajili ya matumizi ya mwezi
hahahahahahahaaaaaaaaa
ππππππππππππππile reaction ya yule mama sasa full burudanikuna episode fulani mama alikuwa na mgomo wa kupika chakula....
baba chico akaingia jikoni kuandaa msosi.....
mama alitegea kile chakula watakula wote
kumbe chakula amepikiwa mbwa
hahahahahaaaaaaa
usinifanye niitafute tenaππππππππππππππππhalafu anavyoongea sasa style ya i dont care banaπππ
ila yule mama ndiye anayeathirika sana na vituko vya mume wakeππππππππππππππile reaction ya yule mama sasa full burudani
πππππkule mbele tamu hio balaa.usinifanye niitafute tena
nimeihifadhi kwa muda, nimefika episode 16
Nilipenda kicheko cha mama wanne,alipata faraja kwa yote aliyotendewa.ila yule mama ndiye anayeathirika sana na vituko vya mume wake
unakumbuka siku aliyofungua mgahawa na hatimaye akamtembelea.
alimponda vibaya (hana mipango bora ya kuendeleza biashara)
teh teh teh
πππππππjamaa ikanunua chupi za mwezi mzima kukomesha mgomoπππππ
π π π π π π wanawezana wale wazee,episode 15 mama aliendeleza mgomo wa kuosha nguo za baba chico.....
baba chiko akaona isiwe tabu...
ngoja nikanunue chupi na soksi 30 kwa ajili ya matumizi ya mwezi
hahahahahahahaaaaaaaaa
do you like brahms hakuwepo....πππππkule mbele tamu hio balaa.
Yule lastborn wa father nilianza muona kwenye drama ya age of youth basi kila nikivuta drama nyingine namuona pia. Na mwenzie yupo mule,nikavuta father i ll take care yumo mara do you lik brahm yupo
πππ halafu mumewe ni jeuri, anamwambia kama unakereka fanya usafi, ila mimi nitafanya baadae hahahaππππππππππππππππhalafu anavyoongea sasa style ya i dont care banaπππ
Kuna sehemu bana chico akajisaidia haja kubwa mzee akampa pole na kumpongeza hee mama si akamaind akalalamika mbelen,mzee akamsubiria katoka msalani akaanza mpa pole na kumuuliza kashusha mzigo salama,kajipangusa vizuri kisha akampongezaππππππππ π π π π π wanawezana wale wazee,
nasubiria varangati la mtoto wao kumtambulisha girlfriend wakeπ π π π π π wanawezana wale wazee,
Waaow hee kumbe aiseeedo you like brahms hakuwepo....
halafu usije ukachanganya wale wadada ni mapacha na wote ni waigizaji
View attachment 1608666
πππππππhalafu sasa utadhan yupo busy sanaπππ halafu mumewe ni jeuri, anamwambia kama unakereka fanya usafi, ila mimi nitafanya baadae hahaha
wastaafu wa korea waliosoma sana na mbwembwe zaoπππππππhalafu sasa utadhan yupo busy sana
Hapo ndo patamu nisiwamalizie uhondo maana ni mwendo wa sheria tupunasubiria varangati la mtoto wao kumtambulisha girlfriend wake
mama atamchukia binti, mara paap baba chico atampenda binti
hahahahaaaaaaa