Bahati Mwakalinga, aka Mama Manji.
Asimamishwa uanachama Yanga kwa miaka miwili kuanzia Octoba 23 2020 mpaka Octoba 2022, baada ya kumrushia tuhuma Mwenyekiti wake Mshindo Msolla, kuwa anaihujumu timu hiyo kwakuwa Mwenyekiti huyo ni mwanachama hai wa Simba.