Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bahati Mwakalinga, aka Mama Manji.
Afutiwa uanachama wake Yanga baada ya kumrushia tuhuma Mwenyekiti wake Mshindo Msolla, kuwa anaihujumu timu hiyo kwakuwa Mwenyekiti huyo ni mwanachama hai wa Simba.
View attachment 1610777
Tuhuma zinasababisha mtu kufutiwa uana chama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Muhimu alitakiwa athibitishe hizo tuhuma kwa kuonyesha au kutaja namba ya uanachama ya simba. Mpira ni itikadi,hata iweje mahaba kwa Yanga hayatapungua pamoja na kumkata...
 
Amesimamishwa kwa miaka 2 mkuu nimekosea kidogo
FB_IMG_1603463637961.jpg
 
Back
Top Bottom