capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Basi leo ni siku yakoπBravoooo,mie madrid fan
Hapo bado man u vs chelsick furaha ikamilike.
Hivi mechi ya leo mbuzi hakuwepo uwanjani?πππππππ
AminMungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Amin[emoji120]Mungu atupe jioni njema
Mna bahati sana nyinyi leo! Sitaki kusema sana wacha tuone sec half inakuajeUmeonaje kwanza vile Mendy kachomoa pira lile?
Na unawezaje kusema wakati unashuhudia vile Mendy alivyo makini leo?Mna bahati sana nyinyi leo! Sitaki kusema sana wacha tuone sec half inakuaje
Messi anatia huruma sanaBARCA midebwedo
Unaongea sana! Wacha game iishe tuzungumze uzuriNa unawezaje kusema wakati unashuhudia vile Mendy alivyo makini leo?
Hii si acc halisi ya Uhuru. Parody hili π
Nachekaaa lakini naogopaaaUnaongea sana! Wacha game iishe tuzungumze uzuri
Messi anatia huruma sana
KumbeHii si acc halisi ya Uhuru. Parody hili π
Hadi huruma maana wale waliokua wanambeba wameondoka kabaki yeey na kipaji chake 'halisi'. Akina cole walimsakama sana CR7 na mazoezi yakeTunaweza kusema kwisha habari yake ila bado ni mapema mno kuhitimisha hivyo.
Jamaa angeondoka Barca ingekua poa sana! Atafute challenge sehemu ingine hapo barca atajitia aibu tuu.Tunaweza kusema kwisha habari yake ila bado ni mapema mno kuhitimisha hivyo.
Ukiogopa me najiskia poa sana! Endelea kutuogopa πNachekaaa lakini naogopaaa
Wakuu wa Nchi acc zao zinakua verified!Kumbe