capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Tuhuma zinasababisha mtu kufutiwa uana chama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bahati Mwakalinga, aka Mama Manji.
Afutiwa uanachama wake Yanga baada ya kumrushia tuhuma Mwenyekiti wake Mshindo Msolla, kuwa anaihujumu timu hiyo kwakuwa Mwenyekiti huyo ni mwanachama hai wa Simba.
View attachment 1610777
Amesimamishwa kwa miaka 2 mkuu nimekosea kidogoTuhuma zinasababisha mtu kufutiwa uana chama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Muhimu alitakiwa athibitishe hizo tuhuma kwa kuonyesha au kutaja namba ya uanachama ya simba. Mpira ni itikadi,hata iweje mahaba kwa Yanga hayatapungua pamoja na kumkata...
Hahaha hatariousAkina Anko binti mpole Depal The Happiness Khantwe... Mkijibiwa kwa baraka naomba msinisahau "kafungu ka kumi" ili nami nijihisi nimeshiriki uchaguzi huuView attachment 1610919
Bahati Mwakalinga, aka Mama Manji.
Asimamishwa uanachama Yanga kwa miaka miwili kuanzia Octoba 23 2020 mpaka Octoba 2022, baada ya kumrushia tuhuma Mwenyekiti wake Mshindo Msolla, kuwa anaihujumu timu hiyo kwakuwa Mwenyekiti huyo ni mwanachama hai wa Simba.
View attachment 1610777
Hiyo adhabu inavumilika.Amesimamishwa kwa miaka 2 mkuu nimekosea kidogoView attachment 1610913
Kwisha....umri unasogeaMessi anatia huruma sana
GK mzuri sana huyuMendiiii 🔥🔥