Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo adhabu inavumilika.
Hivi mzee Msolwa sio Simba yulee? Samahani lakini,kakumbukumbu ka zamani kananijia hata mimi...
Yegomasika
myoyambendi
Yule jamaa ni mwananchi kindakindaki na usisahau kuwa yupo pale kwa ridhaa ya familia furani ya wanasiasa ambao pia wanamiliki mkwanja wa kutosha.
Kwahiyo waliomuweka wanamjua vema
 
Logic: Mwanaume ukimuuliza maswali mawili yanayofuatana (Hususani kwa njia ya meseji), Mara nyingi hujibu moja tu na kuachana na lingine au huyaunganisha kimaana na kutoa jibu moja, Wanawake hujibu yote mawili tofauti.
 
Saikolojia: Watu huwawekea mkazo zaidi watu ambao huonekana kuwa na matendo hasi (Mabaya) kwa jamii.

Na ndiyo maana mambo mengi ambayo hufanya huenea kwa haraka zaidi tofauti na wale ambao huonekana kutenda mambo chanya (Mazuri) kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…