Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kula bhata ipasavyo maana wakipotea kama hali niliyo nayo hapa.

Hadi keyboard yangu imebadilika ina emoji za watu wanakimbia nyani na visu mapanga na kucheka.

Emoji za lov zote sina hata moja kwa sasa kweli maisha yanabadilika si kwa walivyoniacha hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nimechekaaa khaaa!sijui umewaza nini
 
Back
Top Bottom