TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,442
- 8,695
Like hapa
Hli nilikuwa nalifikiria, watu wabaya sana. Wamekula ubwabwa wa Bwana Rungwe lakini mpaka sasa sijasikia hata mmoja kuulizia kama kapata kura ngapi. 😂😂[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1616577
Kwema Bro.....hofu kwako mwana mpotevu? Kwema huko ulipo?Sis vipi? Tujiandae kupokea mahari ama? [emoji870][emoji870][emoji870]
Kwema sana sis. Nilikuwa kwenye kampeni. Tumshukuru Mungu sana. Niliona vidole vyako siku uliyopiga kura. Sikusema kitu...Kwema Bro.....hofu kwako mwana mpotevu? Kwema huko ulipo?
Yes Bro nikienda kutimiza wajibu.....Tuzidi kumshukuru Mungu 🙏Kwema sana sis. Nilikuwa kwenye kampeni. Tumshukuru Mungu sana. Niliona vidole vyako siku uliyopiga kura. Sikusema kitu...