Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
FAHAMU: Mnamo mwaka 1922, Ngome ya Uingereza alimaarufu kama "United kingdom (Uk) " inayoongozwa na malikia Elizabeth wa pili iliundwa rasmi ikiwa na jumla ya Nchi nne yaani "England,Scotland,Wales na Northern Ireland ".