Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo mabeberu yanafanya uchaguzi. Tayari kuna hujuma za kuibiana kura. Trump keshasema anaweza asikubali matokeo. Na wafuasi wake wamesema ikitokea akashindwa hawatakubali kwa sababu atakuwa ameibiwa kura; na wako tayari kupambana. Hali kidogo ni tete. Watu wamerundika mahitaji ya muhimu majumbani. Ngoja tuone itakavyokuwa.
 
FAHAMU: Miongoni mwa vita vilivyopiganwa ndani ya muda mfupi zaidi katika historia ya Dunia vilikuwa ni vita kati ya wazanzibar na waingereza mnamo mwaka 1896. Wazanzibar walijisalimisha baada ya dakika 38 tu.
Wala urojo bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

(Dae anatumia ID gani siku hizi? Ningemtag hapa...)
 
Duh halafu ndo hawa chadrma wameweka tumaini lao la mwisho kutetewa kura zirudiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…