Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,375
- 71,281
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niaje mzee wa Peaky Blinders?[emoji54]
Fresh mzee.. naona mary janeNiaje mzee wa Peaky Blinders?
Ha ha ha sio mchezo aiseeFresh mzee.. naona mary jane
Raha nyingine ni kuwa unalala huku ukiwa unaviona vitu vyako vyote,Tv,Radio yako, meza, jiko la gesi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1619532
Hahah!Ha ha ha sio mchezo aisee
[emoji23][emoji23][emoji23] unaamka asubuhi unaziona mali zako zote kwa pamoja, raha sana!!Raha nyingine ni kuwa unalala huku ukiwa unaviona vitu vyako vyote,Tv,Radio yako, meza, jiko la gesi [emoji23][emoji23][emoji23]
SawasawaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteuwa Dkt. Mwinyi Talib Haji Kuwa Mwansheria Mkuu wa Serekali Zanzibar.
Sawasawa🤣🤣Tanzania inafuatilia kwa karibu sana mienendo na matukio yote katika mchakato wa uchaguzi nchini Marekani, ili kuhakikisha kuwa haki inatendeka, na uchaguzi huo unakuwa ni huru na wa haki. Tanzania haitavumilia vitendo vyovyote vile vya uvunjifu wa haki nchini humo!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaamka asubuhi unaziona mali zako zote kwa pamoja, raha sana!!