ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
.
Mchana wa kula
Mchana wa kula
Amin Bro [emoji120][emoji120]Huyo jamaa aje atuulize sisi tumpe codes jinsi ya kudeal na Binti Mpole vinginevyo atakuwa anakula za uso deile.
Huku salama bana. Uchaguzi inavyoonekana Biden itabidi tu akubali yaishe japo bado kidogo. Mwenzake tayari analia kuibiwa kura na yuko tayari kwenda mahakamani.
Tumshukuru Mungu kwa yote bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Berlin Station... Gays staffs ni kweli zipo, ila hasa kwenye season 1 pekee, baada ya hapo kuanzia season 2 hadi season 3...hakuna ishu hizo broningendako mungu anakuona
ulinipa series yenye mtiririko mzuri wa hadithi...
Lakini whistleblower mwenyewe ni shoga aliyekubuhu.
itakaporudi computer ujiandae na vita yangu.
Inaitwa Berlin.......... Utamalizia
Nilidhan wakorea wao hawana hizi mambo, kumbe wao pia wamejiingiza.. Dahhuenda ni mkakati maalumu wa kuilazimisha jinsia ya tatu itambuliwe rasmi na pande zote.
Wanazingua sana wamagharibi na project zao.
hata wakorea na wao wameanza kuiga Sera za kimagharibi.
Jioni inaaga