Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku hizi kila show/muvi/series lazima wachomekee mashoga. Jamaa wamekaba kila kona mpaka kero yaani...
huenda ni mkakati maalumu wa kuilazimisha jinsia ya tatu itambuliwe rasmi na pande zote.

Wanazingua sana wamagharibi na project zao.

hata wakorea na wao wameanza kuiga Sera za kimagharibi.
 
TRUMP ALALAMIKA KUIBIWA KURA _ Kinyang’anyiro cha kuingia Ikulu nchini Marekani kinaendelea kupamba moto.Hadi kufikia sasa, Donald Trump anaendelea kufanya vizuri ikilinganishwa na utabiri wa kura za maoni. Wagombea wote wawili Donald Trump na Joe Biden bado wanaendelea kukaribiana katika majimbo ambayo wapiga kura ni mchanganyiko. - - Hata hivyo Bwana Trump tayari anadai kuwa kura zimeibwa.Inasemekana alituma ujume kwenye mtandao wa Twitter unaodai watu wanajaribu kuiba kura. Bwana Trump hakutoa ushahidi kuhusu madai yake lakini kura haziwezi kupigwa baada ya vituo vya kupiga kura kufungwa. - - Trump alituma ujumbe muda mfupi baada ya mpinzani wake Joe Biden kuonekana kuongoza huko Delaware wakati alipokuwa anaomba wafuasi wake kuwa na utulivu kwa sababu bado shughuli ya kuhesabu kura inaendelea. (Bbc Swahili)
 
LIL WAYNE AACHWA KISA TRUMP _ Rapa Lil Wayne arudi tena kuwa Single, ameripotiwa kuachwa na mpenzi wake wa hivi karibuni Denise Bidot kwa kile kilichotajwa kuwa ni kitendo chake cha kuamua kumuunga mkono Rais Donald Trump. Tovuti za TMZ na Love B. Scott zimeripoti kwamba Denise alithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambao tayari ameufuta kwa sasa (deactivate), lakini pia watu wa karibu na mrembo huyo wamesema, alivunjika moyo baada ya kuona Wizzy anamuunga mkono Rais Trump. - "Ameachana na Lil Wayne. Sio tu kwa sababu za kumuunga mkono Trump, lakini hiyo ndio sababu kubwa." Wamesema marafiki zake Denise Bidot.
 
Back
Top Bottom