Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

El9T6NtXYAEGbGP.jpeg
 
Umemuona binti mpole lakini alivyomfanyia huyo jamaa? Yaani siyo poa kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]

Kuko salama huko kwako bro?
Hahah nmeona bro,jamaa imebidi aziuwe ili kuuwa so

Huku kwema bro, uzima upo

Habar za huku bro? Uchaguz Unaendeleaje? Joe atapindua meza au ndio anakubar yaishe?
 
Hahah nmeona bro,jamaa imebidi aziuwe ili kuuwa so

Huku kwema bro, uzima upo

Habar za huku bro? Uchaguz Unaendeleaje? Joe atapindua meza au ndio anakubar yaishe?

Huyo jamaa aje atuulize sisi tumpe codes jinsi ya kudeal na Binti Mpole vinginevyo atakuwa anakula za uso deile.

Huku salama bana. Uchaguzi inavyoonekana Biden itabidi tu akubali yaishe japo bado kidogo. Mwenzake tayari analia kuibiwa kura na yuko tayari kwenda mahakamani.

Tumshukuru Mungu kwa yote bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Wala urojo bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

(Dae anatumia ID gani siku hizi? Ningemtag hapa...)
Ilikuwa ni Vita ngumu sana, isitoshe hao waingereza walikata njia zote za kusafirishia msosi kwa majeshi ya Zanzibar ndio maana kamanda mkuu aliamua kupeperusha bendera nyeupe.......

no urojo no fighting
 
Eti no urojo no fighting [emoji23][emoji23][emoji23]

Kamanda alifanya vyema kusarenda vinginevyo angepoteza wapiganaji wake na kuleta maafa makubwa.
 
Eti no urojo no fighting [emoji23][emoji23][emoji23]

Kamanda alifanya vyema kusarenda vinginevyo angepoteza wapiganaji wake na kuleta maafa makubwa.
swadakta, yalikuwa ni maamuzi ya busara sana....

Hawa makamanda wetu wa siku hizi Wana safari ndefu sana ya kujifunza Sanaa ya Vita.

surrender kabla hujafumuliwa na mwenye silaha za maangamizi

niwape pole wapemba wenzangu
Niwape pole wakaazi wa nungwi na wengineo waliokutana na dhoruba ya chama dola
 
Back
Top Bottom