Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Why nisiwe na team?Wewe una timu au unacheka tuu wenzako?
#pundamilia
Why nisiwe na team?Wewe una timu au unacheka tuu wenzako?
#pundamilia
Yani kama upo akilini yaani! Niko sawa Bro, habari ya siku mingi?Salama bro?
Naona unakata stress za NEC na ZEC 😀😀
MmmhhKulingana na tafiti, kwa kawaida ubongo wa mwanadamu hutamani vitu vinne tu yaani; Chakula, Maji, Kufanya tendo la ndoa na Kulala.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kuna watu wanapitia Magumu Nyie Acheni tu imagine mtu hana Mpenzi. namba ya NIDA wala VPN!
😕
[emoji28][emoji28][emoji28]aiseee kichaka hikoPambana na hali yako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1618754
Man U?Why nisiwe na team?
Ni njema kabisa. Mungu ni mwema.Yani kama upo akilini yaani! Niko sawa Bro, habari ya siku mingi?
Ushapiga kura lkn?Au hujachukua 'makaratasi' ya kupigia kura bado?Ni harakati za kuomba kura
View attachment 1619058
Nilishapiga kwa njia ya posta. Leo misururu ilikuwa mirefu sana na hii Korona mh. Leo silali mpaka nijue nani kapigwa japo bwana Trump keshachimba mkwara kuwa akishindwa basi atakuwa kaibiwa tu na amewataka wafuasi wake wasikubali. Ngoja tuone itakavyokuwa!Ushapiga kura lkn?Au hujachukua 'makaratasi' ya kupigia kura bado?
Tulipofikia bila 'stimulus' fenesi ni mwendo wa kulala doro mwanzo mwisho [emoji3][emoji3][emoji3]Mi niliona nikakausha. Vijana hawa bwana wanafurahisha sana. Kumbe kwa wahenga kuamka fenesi likiwa limepoa kawaida tu...ila likiona jipaja tu au limmeng'enyuko tingisha fenesi hilooo stendibai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hili lijamaa misimamo yake imemsaidia sana kupendwa na Wamarekani weupe, ni dhahiri uchaguzi huu atashinda tena.Leo hakuna kulala mpaka kieleweke [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1619105