Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Be the light in the midst of darkness.
HahahahaaaaaassaLeo mabeberu yanafanya uchaguzi. Tayari kuna hujuma za kuibiana kura. Trump keshasema anaweza asikubali matokeo. Na wafuasi wake wamesema ikitokea akashindwa hawatakubali kwa sababu atakuwa ameibiwa kura; na wako tayari kupambana. Hali kidogo ni tete. Watu wamerundika mahitaji ya muhimu majumbani. Ngoja tuone itakavyokuwa.
View attachment 1618683
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uume kushindwa kusimama asubuhi pale mwanaume unapoamka kwa kipindi cha muda fulani, Ni mojawapo ya kiashiria kuwa una tatizo la kiafya linakusumbua.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi niliona nikakausha. Vijana hawa bwana wanafurahisha sana. Kumbe kwa wahenga kuamka fenesi likiwa limepoa kawaida tu...ila likiona jipaja tu au limmeng'enyuko tingisha fenesi hilooo stendibai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]