moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Waafrika nanyi hamjui mlitakalo. Mademocrats hawa ndiyo wapigania haki za mashoga, utoaji wa mimba na walazimishaji wa mambo sana. Mtalazimishwa sana mambo hayo na mkibisha mtabanwa mno. Trump, pamoja na matatizo yake yote, alikuwa hataki upuuzi huo na kuingilia vinchi hivi vidogo vidogo hivi vya Kiafrika. Labda pia kama unazungumzia ugomvi wake na Waislamu (kutotaka waingie nchini mwake akidai kuwa "wataiharibu" Marekani kama walivyoiharibu Ulaya). Nchi za Kiafrika zitateseka zaidi kwa hawa mademocrats kuliko wakati wa Trump. Hata Gaddafi aliuliwa na akina Biden hawa hawa!
Huu mtanange ni kesho?View attachment 1621108
Asiye na mwana abebe jiwe
Trump anachochea chuki baina ya Israel na majirani zake ambao ni mahasimu wa jadi.Waafrika nanyi hamjui mlitakalo. Mademocrats hawa ndiyo wapigania haki za mashoga, utoaji wa mimba na walazimishaji wa mambo sana. Mtalazimishwa sana mambo hayo na mkibisha mtabanwa mno. Trump, pamoja na matatizo yake yote, alikuwa hataki upuuzi huo na kuingilia vinchi hivi vidogo vidogo hivi vya Kiafrika. Labda pia kama unazungumzia ugomvi wake na Waislamu (kutotaka waingie nchini mwake akidai kuwa "wataiharibu" Marekani kama walivyoiharibu Ulaya). Nchi za Kiafrika zitateseka zaidi kwa hawa mademocrats kuliko wakati wa Trump. Hata Gaddafi aliuliwa na akina Biden hawa hawa!
Kesho hiyo.Huu mtanange ni kesho?
Maneno kama hayo wanaongea wanaume wanaoweza kupeleka shehena sayari nyingine.TAARIFA KWA UMMA.
Watanzania tunapenda kuutarifu umma kuwa tunafuatilia kwa ukaribu Uchaguzi wa MAREKANI uliofanyika tarehe 03, November 2020 na tunapenda kuona haki ikitendeka na amani ikitawala, Ubalozi hautasita kumchukulia hatua raia au mgombea yeyote wa MAREKANI atakaekiuka
Mwenyewe anasema anawapatanisha ndiyo maana kazifanya nchi kadhaa za Kiarabu kusaini mikataba ya maelewano na Israel. Na anasifiwa kweli na wachambuzi wa siasa za Mashariki ya Kati [emoji16][emoji16][emoji16]Trump anachochea chuki baina ya Israel na majirani zake ambao ni mahasimu wa jadi.
Lakini Republican tangu zamani haina mahusiano mema na watu weusi.
Huyu jamaa aondoke tu.
Suala la ushoga linazungumzika hawawezi kutulazimisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmekuona huko mitaa ya mji wa Zanzibar! Nimefurahi sana
Wacha aje atunyooshee mtu mmoja hapo bongoWaafrika nanyi hamjui mlitakalo. Mademocrats hawa ndiyo wapigania haki za mashoga, utoaji wa mimba na walazimishaji wa mambo sana. Mtalazimishwa sana mambo hayo na mkibisha mtabanwa mno. Trump, pamoja na matatizo yake yote, alikuwa hataki upuuzi huo na kuingilia vinchi hivi vidogo vidogo hivi vya Kiafrika. Labda pia kama unazungumzia ugomvi wake na Waislamu (kutotaka waingie nchini mwake akidai kuwa "wataiharibu" Marekani kama walivyoiharibu Ulaya). Nchi za Kiafrika zitateseka zaidi kwa hawa mademocrats kuliko wakati wa Trump. Hata Gaddafi aliuliwa na akina Biden hawa hawa!