The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
😂😂😂Wacha aje atunyooshee mtu mmoja hapo bongo
Lifestyle wanayoichagua ndio inayo wagharimu...so sad, video yake ndio kwanza iko na masaa machache tu youtube..RIP KING VON
![]()
![]()
hakika mkuu yani lifestyle yao inawacost sana hawa madogoLifestyle wanayoichagua ndio inayo wagharimu...so sad, video yake ndio kwanza iko na masaa machache tu youtube..
Rest well King VON
Inasikitisha sana mkuuhakika mkuu yani lifestyle yao inawacost sana hawa madogo
Machalii wanakata moto mapema sana, wasipobadilika ukongwe watausikia tu kwa akina Jay-Z na akina EminemRIP KING VON
![]()
![]()
Kabisa mkuu ishu za magang zinawachukua sana madogoMachalii wanakata moto mapema sana, wasipobadilika ukongwe watausikia tu kwa akina Jay-Z na akina Eminem