Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1604743246891.jpeg
 
Kikao cha Kamati Kuu (KK) ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichoketi jana Nov 05, 2020 chini ya Mwenyekiti wake Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya uchambuzi wa kina kimempendekeza Job Ndugai kugombea nafasi ya Uspika kwenye Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichoketi jana chini ya Mwenyekiti wake Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya uchambuzi wa kina kimempendekeza Dr.Tulia Ackson @tulia.ackson kugombea nafasi ya Unaibu Spika kwenye Uchaguzi wa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
4. Vumulia na usikate tamaa mapema.
Mafanikio yanakuja kwa watu wote ambao wanavumulia na hawakati tamaa mapema, nawe pia unatakiwa uwe miongoni mwao. Najua unakutana na mambo mengi sana lakini vumilia kila hali na usiruhusu kukata tamaa hata kidogo. Ukiweza kuvumilia na kuacha kukata tamaa mapema utafika mbali sana kimafanikio.
Fanyia kazi mambo haya na uwe na uhakika mafanikio kwako hayataweza kukusumbua kwa kitu chochote kile kwako.
Asante kwa busara zako mkuu
 
Back
Top Bottom