myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jioni yetu iwe njema [emoji120][emoji120]
Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Mungu awaponye wagonjwa [emoji120][emoji120]
Wa sokoni na dukani poleni
Poleni wa daladala na bajaji
Poleni walezi wa familia
Poleni wasafiri woote
Poleni mlio mapumzikoni
Hakufikii wewe kwa kung'aa TH
Uchaguzi umeshapita. Unaonaje kama tungeachana na haya mambo (hasa huku kwetu kwenye uzi huu) tukaendelea na raha zetu za kawaida? Ni wazo tu lakini [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Mr PrezidaaView attachment 1621331