mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMUN RASEPARATE GOOD FROM EVIL FOREVER
Hahaha kumbe sijakualik looh my hubby ukuje huku umualike numbi cc kisu cha ngariba
linalowezekan leo lisingoje keshoWakuu kesho nayo ni siku
AMUN RAThe good shall prevail but evilness will perish forever
My kamanda[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani nimechekaaa khaaa!sijui umewaza nini
HahahahahahaTuna like tu maana nimesaini kuwa nitalike kila post japo kishingo upande
chumvinitandale kwa tumbo
True my lovely QueenAnd season of wonderful blessings forever
hahahaPenzi halina deiwaka
Supersonic speedHii speed ya uzi ni hatari
AMUN RATrue my lovely Queen
Mazee naona wewe mgeni mwanzo tulikimbiza balaaa sasa tumepunguza kidogoHii speed ya uzi ni hatari
Nahisi huko waliko Cole na carba wana kucheka na kuku nanga hiviKula bhata ipasavyo maana wakipotea kama hali niliyo nayo hapa.
Hadi keyboard yangu imebadilika ina emoji za watu wanakimbia nyani na visu mapanga na kucheka.
Emoji za lov zote sina hata moja kwa sasa kweli maisha yanabadilika si kwa walivyoniacha hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]